Tumeanza kukusanya mizigo ya kusafirisha kwa meli na kukomboa/clearance, kwenda Dar Es Salaam, Tanzania, mwezi huu wa November.
NH, MA, RI, CT, NY, NJ, DE, PA, MD, OH, NC, & GA.
Wasiliana na mimi ili nikupe ratiba ya kuja chukuwa mizigo yako.
Nawashukuru wote.
Asante 🙏
Patrick Liganga
AMEFRICARGO EXPRESS, LLC
Emil: Info@amefricax.com
Tel: +1-914-318-8202
No comments:
Post a Comment