ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 30, 2017

TAARIFA YA KISOMO DMV

Assalaamu A'laykum Warahmatullahi Wabarakatuh.

Kwa niaba ya familia ya sister Samira Lila (Mrs Mrisho Mzese), tunachukua fursa hii kuwafahamisha kuwa Siku ya Jumamosi ya December 30, 2017, kutakuwa na kisomo cha kumrehemu mama yake mzazi (Bi Salha Salum)

Kisomo kitaanza 5:00pm - 8:00pm In Shaa Allah.

Address ni:
12837 Grand elm St,
 Clarksburg MD 20871

In Shaa Allah tujumuike kwa pamoja kumfariji mwenzetu.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na:

Samira Lilah: ‭(240) 821-3931
Mganga: 202-374-0988
Jasmine Rubama: 410-371-9966

Tunatanguliza Shukrani.

No comments: