Happy birthday Glory. TEAM YA VIJIMAMBO INAKUTAKIA AFYA NJEMA |
TumaGlory akikata cake maalum ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa |
Gloria akimlisha cake hubby wake |
Digna na birthdat girl |
Lavender |
Gloria's friends |
Mrembo Digna akifurahi msosi wake |
Glory na Hadija |
Kakaz pia walijumuika kufurahi na Glory |
Lolo |
Mama na Lolo |
Mama mzazi wa Agnes Makala akimpa hongera TumaGlory |
Agnes wa Makalla akideka na mama yake |
Rose na Agnes |
mambo yalikuwa ni motoooo |
Dada kubwa akilishwa cake |
mama akimlisha cake birthday girl |
madolari yakiwa tayari kumwaga kwa birthday girl |
Neema na Rachel |
cake ikikatwa kila mmi apate ku enjoy |
Mashallah tabasamu zuri |
picha za hapa na pale |
Sage palikuwa hapatoshi kwa jinsi mambo yalivyopendeza |
No comments:
Post a Comment