WATANZANIA WAWILI WAKAMATWA CHINA WAKIWA NA KETE 129 ZA DAWA ZA KULEVYA
Watanzania wawili, Baraka Malali na mkewe Ashura Musa wamekamatwa nchini China wakiwa wamemeza kete 129 za dawa za kulevya wakiwa na mtoto wao wa miaka 2 na miezi 9 ambaye amerudishwa nchini leo. Baraka alikuwa amemeza kete 47 na Ashura kete 82.
No comments:
Post a Comment