ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 17, 2018

WANAFUNZI WA ZAMANI WA KIFUNGILO GIRLS WAKISINDIKIZA MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WAO WA SHULE



Baadhi Ya Wanafunzi waliosoma Kifungilo Girls Secondary School iliyopo Lushoto,Leo wamejumuika pamoja kuusindikiza mwili wa aliyekuwa mkuu wao wa shule Sr Mary Fidesta Mrisho C.P.S, kutoka Arusha Selian Hospital Kuelekea Precious Blood Girls School in Polisingisi Arusha.


Kifungilo Girl's Secondary School is higher education school located in Lushoto, is among Precious Blood Schools of higher self-esteem,personal  discipline,responsibility,courageousness,hospitality,family spirit and Prayer life


BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA
"NA TULENGE JUU"






No comments: