KATIKA KUELEKEA SIKU YA KILELE CHA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI AMBAYO KILELE CHAKE KITAKUA TAREHE 8/3/2018 , JUMUIYA YA WAKINA MAMA MKOA WA DODOMA LEO TAREHE 06/03/2018 WAMETEMBELEA VITUO VIWILI VYA CHESHIER NA UPENDO BROTHERS VYA DODOMA VINAVYOLEA WATOTO NA WAZEE WENYE MATATIZO YA AKILI NA KUTOA ZAWADI MBALIMBALI KWA AJILI YA WATOTO NA WAZEE HAO.
PICHANI NI WENYEVITI WA JUMUIYA HIYO WAKITOA ZAWADI MBALIMBALI PAMOJA NA KUCHEZA MZIKI NA WATOTO HAO.
No comments:
Post a Comment