ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 7, 2018

Uhifadhi wa kumbukumbu ya historia ya urithi wa ukombozi wa bara la Afrika kuwavutia wadau

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini Tanzania Mhe. Yuri Popou (kushoto) alipotembelea katika ofisi za kukumbumbu ya urithi wa ukombozi wa bara la Afrika na kuona namna Urusi ilivyochangia katika harakati za ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akimuonyesha Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini Tanzania Mhe. Yuri Popou (kushoto) pikipiki iliyotolewa na Urusi (Soviet Union) ili iweze kutumiwa wakati wa harakati za ukombozi wa bara la Afrika alipotembelea katika ofisi za kukumbumbu ya urithi wa ukombozi wa bara la Afrika na kuona namna Urusi ilivyochangia katika harakati za ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akimuonyesha mazingira ya ofisi za kukumbumbu ya urithi wa ukombozi wa bara la Afrika Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini Tanzania Mhe. Yuri Popou (wapili kushoto) alipotembelea katika ofisi hizo kuona namna Urusi ilivyochangia katika harakati za ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya ujio wa Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini Tanzania Mhe. Yuri Popou (kushoto) alipotembelea katika ofisi hizo kuona namna Urusi ilivyochangia katika harakati za ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na Mwakilishi wa UNDP nchini Bibi. Natalie BOUCLY (kushoto) alipotembelea katika ofisi za kuhifadhi urithi wa ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam na kujadili namna ambavyo UNDP itasaidiana na wizara katika kuhifadhi historia hiyo kwa manufaa ya vizazi vijavyo
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akimshukuru Mwakilishi wa UNDP nchini Bibi. Natalie BOUCLY (kulia) baada ya kutembelea ofisi za kuhifadhi urithi wa ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam na kujadili namna ambavyo UNDP itasaidiana na wizara katika kuhifadhi historia hiyo kwa manufaa ya vizazi vijavyo


Picha na: Genofeva Matemu -WHUSM

No comments: