Ninaamini kiongozi bora ni yule anaeleta matokeo zaidi kwa vitendo kuliko maneno mengi. Wana DMV, tumekuwa pamoja kwa shida na raha. Tumepitia changamoto nyingi kwa ushirikiano mkubwa, kwenye misiba, wagonjwa kupatiwa tiba na kuwasafirisha hadi Tanzania. Kwenye raha, tumekuwa pamoja. Kwenye changamoto ya kuleta chachu ya umoja, kama New Year Party 2016/17, Kamati ya Planning, na mengine mengi tuliofanya pamoja. Kwa heshima na taadhima,naomba fursa niwatumikie kwa nafasi ya Makamu wa Rais wa Watanzania, DMV. ATC-METRO. Chagua mwenye uzoefu wa vitendo kuliko maneno. Naomba kura yako. #MSHIKAMANO DMV. #UMOJA NA UPENDO. #UTANZANIA KWANZA Please Vote
No comments:
Post a Comment