Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia maelfu ya wananchi na waumini alipowasili kushiriki Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na Maaskofu katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na mapadri na katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaack Amani (katikati yao) na maaskofu wengine wa kanisa hilo baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaack Amani (katikati yao) na maaskofu wengine wa kanisa hilo pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda, Spika Mstaafu Mhe. Anne Makinda, Mama Tunu Pinda na Mkuu wa Mkoa wa ARusha Mhe. Mrisho Gambo baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018 .
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaack Amani (katikati yao) na maaskofu wengine wa kanisa hilo pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaack Amani (katikati yao) na maaskofu wengine wa kanisa hilo pamoja na viongozi wa Mkoa wa Arusha baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakaga baada ya kupata picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaack Amani na maaskofu wengine wa kanisa hilo baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018.
Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment