Picha ya kumbukumbu ya mzee na mama Kingunge Ngombale Mwiru.
Mchungaji mama Peres Butiku kutoka New York akiongoza misa ya kumbukumbu ya mzee na mama Kingunge Ngombale Mwiru iliyofanyika siku ya Jumamosi May 19, 2018 Frederick, Maryland na kuhudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki.
Misa ikiendelea.
Dr. Abbas Bwabusha toka New York akiongea jambo.
Wahudhuriaji wakifuatilia misa ya kumbukumbu ya mzee na mama Kingunge Ngombale Mwiru iliyofanyika siku ya Jumamosi May 19, 2018 Frederick, Maryland na kuhudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki.
Wahudhuriaji wakifuatilia misa
Ndugu, jamaa na marafiki wakiguswa jambao wakibubujikwa na machozi
Misa ikiendelea.
Alex kutoka Chicago akisoma neno
Tina Magembe akisoma wasifu wa marehemu
Mapochopocho na mulo wa nguvu ukiandaliwa.
Misa ikiendelea
Ndugu, jamaa na marafiki wakipata picha ya kumbukumbu
Paparazi wakiwa kazini
Ndugu jamaa na marafiki wakifuatilia misa,
1 comment:
poleni sana wafiwa wote.bwana alitowa bwana alitwa jina lake lihimidiwe. rest in peace our mama. wengine tulitaka kuja kuhudhuria lakini hatukujua jambo hili jamani.
Post a Comment