Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Askofu
Mkuu Mteule wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo
Mndolwa kabla ya kwenda kusimikwa rasmi kuwa Askofu Mkuu
wa Kanisa hilo mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo
na Askofu Mkuu Mteule wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu
Maimbo Mndolwa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Askofu Mkuu
mteule wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa
mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo
Mndolwa mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na
Askofu Mkuu Mteule wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu
Maimbo Mndolwa aliyeambatana na mke wake Ikulu jijini Dar es
Salaam kabla ya kwenda Dodoma kusimikwa rasmi kuwa Askofu
Mkuu wa Saba wa Kanisa hilo nchini. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment