ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 16, 2018

WANANCHI WALALAMIKIA UJENZI BARABARA BILA YA KUWA NA MITARO, NANYAMBA -MTWARA

Wakazi wa halmashauri ya mji wa Nanyamba mkoani Mtwara wamelalamikia tatizo la kukosekana kwa mitaro ya barabara za ndani za halmashauri hiyo hali inayopelekea maji kutuama kwa nyakati za masika . Ambapo barabara hizo ujengwa na kampuni ya SUMA.

HALI NI TETE ZAHANATI YA MUHUWESI, HUDUMA ZA AFYA ZA SUA SUA>>>

No comments: