ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 20, 2018

HABARI KATIKA PICHA

Pichani Watumishi mbalimbali wa Taasisis ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) wakipata semina juu ya sheria , kanuni na taratibu za Utumishi wa Umma pamoja mada juu ya masuala ya Rushwa katika Utumishi wa Umma , watoa mada hizo ni kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma pamoja na Taasisis ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) katika semina hii watumishi walipata fursa ya kuuliza maswali juu ya mambo mabalimbali kama vile maadili , rushwa na sheria zinazohusiana na Utumishi wa umma , semina hii imefanyika ikiwa ni sehemu ya kutimihza kilele cha wiki ya Utumishi wa Umma ambayo kila mwaka huizinishwa kuanzia tarehe 16- 28 ya mwezi Juni.

No comments: