Advertisements

Monday, July 23, 2018

DARIUS BIRTHDAY PARTY

Keki ya Darius akishiria miaka 12 tangu kuzaliwa kwake.

Darius akiwa amesimama akisubili kukata keki yake ya birthday ya miaka 12 iliyofanyikaMain Event Colombia Mall Colombia, Maryland siku ya Jumapili July 22, 2018.

Darius akizima mishuma mara baada ya kuimbiwa wimbo wa siku yakuzaliwa.

Darius akikata keki.
Darius akimlisha keki mama
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Mama akimlisha keki Darius
Darius akimlisha keki baba.
Darius akimlisha keki mdogo wake.

Wakwanza kushoto ni Darisa akijumuika namarafiki zake.


No comments: