ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 21, 2018

SAVE THE DATE NOV 16 NA 17 DMV TASTE OF TANZANIA TOURISM EXPO KUFANYIKA WASHINGTON, DC KWA SIKU MBILI

 Kutoka kushoto ni makamu wa Urais Jumuiya ya waTanzania DMV (Washinto, DC, Maryland na Virginia) B. Joha Nyang'anyi, Mhe.Wilson Masilingi,  Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mwenyekiti wa kamati ya wajasiliamali, Bi. Vickie Keita, Bwn,. Mashaka Bilal mwana bodi ya jumuiya na mwanakamati na Rais wa Jumuiya Dj Luke wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi baada ya kumaliza kikao cha maandalizi ya kongamano la wajasiliamali lililobeba jina la DMV TASTE OF TANZANIA TOURISM EXPO lenye lengo la kutangaza wajasiliamali, utali waTanzania na vivutio vyake ikiwemo utamaduni na kuwa kiunganisho cha Marekani na Tanzania katika sekta mbalimbali. litakalofanywa na Jumuiya ya watanzania DMV kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Taarifa zaidi na maendeleo ya maandalizi zitaendelea


No comments: