_Assalamu Alaykum Wa Rahmatullaahi wa Barakaatuhu_
Uongozi wa Tanzanian Muslim Community of Washington DC Metro (TAMCO) Una Furaha Kuwakaribisha wote kwenye Sikukuu ya Eid el Hajj, kuadhimisha Utekelezwaji wa Hijja (Nguzo ya Tano ya Uislam)
*Jumanne, August 21, 2018* (in shaa Allah)
Kuanzia saa Tisa Alasiri hadi saa Tatu Usiku [ *3PM to 9:00pm* ]
*ARGYLE LOCAL PARK*
1030 FOREST GLEN ROAD
SILVER SPRING, MD 20901
Kwa Taarifa Zaidi, wasiliana na
Shamis Abdulla 202 509 1355
Iddy Sandaly 301 613 5165
Ali Mikidadi 201 628 2133
Jasmine Rubama 410 371 9966
Asha Hariz 703 624 2409
Asha Nyanganyi 301 793 2833
*_Tafadhali ukipata taarifa muarifu Mwenzio_*
*Labaika Allahuma Labaika*
Sent from my iPhone
No comments:
Post a Comment