ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 21, 2018

TASWIRA YA BBQ ILIYOFANYIKA WEEKEND KWENYE VIUNGA VYA TANZANIA HOUSE MT VERNON

LICHA YA HALI YA HEWA KUTISHIA KAMA MVUA LAKINI WATANZANIA AWAKUKOSA KUJITOKEZA KWENYE VIUNGA VYA TANZANIA HOUSE NA KUSHIRIKI BBQ ILIYOKUWA IMEANDALIWA NA VIJANA WA NEW YORK SIKU YA JUMAMOSI. BAADA YA BBQ WATU WAJICHAMGANYA NDANI YA KIOTA CHA ALAMO NA KUSAKATA RUMBA HADI MIDA YA KIFUNGUA KICHWA.

Dada Farida kutoka Connecticut akijisevia nyama kiroho safi 
James mratibu wa BBQ akifanya yake jikoni, kwa picha zaidi jitiririshe hapa chini.




No comments: