ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 19, 2018

TDC Global Diaspora wametuwakilisha katika Kongamano la Tano la Diaspora -Pemba.


TDC Global Diaspora wametuwakilisha katika Kongamano la Tano la Diaspora -Pemba. Mheshimiwa Rais wa serikali ya mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein, Makamu wa Rais Balozi Seif Idi, Salum Kibanzi Naibu Katibu wa Rais walipata fursa ya kujumuika na Diaspora katika kongamano Hilo. 
Pia wawakilishi wa @zbctvofficial @zssfinsta @tanzanianssf walitoa mchango katika kongamamo hili la kila mwaka. "Pamoja Tunaweza, Mtu kwao Ndio Ngao"

No comments: