Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwa ndani ya ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL)alipokuwa akielekea Jijini Mwanza ikiwa ni mara ya kwanza kwa Rais kusafiri kwa kutumia ndege hiyo mpya akiwa na abiria wengine.Agosti 18,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwasalimia abiria ndani ya ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL)alipokuwa akielekea Jijini Mwanza ikiwa ni mara ya kwanza kwa Rais kusafiri kwa kutumia ndege hiyo mpya akiwa na abiria wengine.Agosti 18,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwa amemshika mtoto Ikrama Mahadi(Miezi-3) alipokuwa akiwasalimia abiria ndani ya ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL)alipokuwa akielekea Jijini Mwanza ikiwa ni mara ya kwanza kwa Rais kusafiri kwa kutumia ndege hiyo mpya akiwa na abiria wengine.Agosti 18,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwasalimia abiria ndani ya ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL)alipokuwa akielekea Jijini Mwanza ikiwa ni mara ya kwanza kwa Rais kusafiri kwa kutumia ndege hiyo mpya akiwa na abiria wengine.Agosti 18,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwasalimia abiria ndani ya ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL)alipokuwa akielekea Jijini Mwanza ikiwa ni mara ya kwanza kwa Rais kusafiri kwa kutumia ndege hiyo mpya akiwa na abiria wengine.Agosti 18,2018.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment