ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 29, 2018

IBADA YA MISA YA KISWAHILI YA MWISHO WA MWEZI BALTIMORE

Kama tujuavyo Destuli yetu Tunaombwa sote kwa pamoja kushiriki ibada ya kiswahili ya kila mwezi tarehe: September,30,2018 saa 8 mchana(2:00pm) 

Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la Mtakatifu Edward (St Edward Parish) 
901 Poplar Grove St, 
Baltimore, MD 21216, 
Phone: (410) 362-2000 

Karibu sana na tusisite kukumbushana na kuwakaribisha wengine. Kwa niaba ya Fr. Honest Munishi ni M/Kiti wenu Patrick M. Kajale.

No comments: