Familia ya Joyce na Fortunatus Mwakipesile wanapenda kuwakaribisha katika ibada ya misa ya kumshukuru Mungu kwa maisha ya mpendwa baba mzazi wa Mwaki Mzee Simon Mwansasu aliyefariki Aug 15, 2018 Dar es salaam na mazishi kufanyika Aug 19, 2018 Mjini Mbeya.
Misa itafanyika siku ya Jumapili sept 30, 2018 saa 9 alasiri (3pm) katika kanisa la Kilutheri misa ya Kiswahili, Rockville, Maryland lenye anuani:
1605 Viers Mill Rd,
Rockville, MD 20851
Ukipata taarifa hii tafadhali mtaarifu na mwenzio.
Kwa taarifa zaidi na maelekezo tafadhali wasiliana na:
Mwaki 240 505 6159
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE
No comments:
Post a Comment