kati ni dada wa marehemu Bi. SalmaMoshi akiwa na mjumbe wa tume Omby (kushoto) na Bi. Fatuma Kiponda wakimfariji mfiwa siku ya Jumamosi Sept 29, 2018 Meadowbrook Park, Chevy Chase, Maryland siku kisomo cha mdogo wake narehemu Nyamizi na kuhudhuriwa na wakaazi wengi wa DMV. Picha na Vijimambo Blog.
Baadhi ya wanaDMV waliojitokeza kwenye kisomo, cha marehemu Nyamizi wakijaribu kumpa mkono wa pole Bi Salma Moshi Jumamosi Sept 29, 2018 Meadowbrook Park, Chevy Chase Maryland siku kisomo cha mdogo wake narehemu Nyamizi na kuhudhuriwa na wakaazi wengi wa DMV
Mhazini msaidizi wa ATC Metro community, Ali Miki akimkaribisha Balozi mstaafu Mhe. Leberata Mulamula.
Balozi mstaafu Mhe. Liberata Mulamula (kushoto) wakibadilisha mawili matatu na mmoja ya watangazaji mahili wasauti ya America (VOA) Bi. Mkamiti.
Wawakilishi kutoka Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Bwn. Andrew Zoka (kushoto) aliyemwakilishaMhe. Balozi Wilson Masilingi ambaye yeye binafsi hakuweza kuhudhuria kiosomo kutokana na uhudhuriaji wa mikutano inayoendelea hivi sasa New York.
Mwenyekiti wa Kamati mama Mushala Jesca akishukuru wanaDMV na kuwashukuru kamati.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Mama Mushala Jesca akiendelea na neno la shukurani.
Dj Luke, Rais wa Jumuiya akiongea machache, kuwashukuru wanaDMV kwa moyo wa kujitolea walioonyesha kwenye misiba miwili iliyotokea mfululizo na kuwaasa wanaDMV na waTanzania kwa ujumla wajiunge na bima ya maisha.
Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Tanzania nchiniMarekani akitoa slamu za pole kwa wafiwa kutoka kwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi.
Mwekiti wa jumuiya ya kiislaam (TAMCO) ya DMV bwn. Ali Mohamed akiwashukuru wote kwa michango ya hali na mali na mshikamano waliouonyesha kwa mpendwawetu Nyamizi.
Kutoka kushoto ni Mkamiti wa VOA, Bi. Love Maganga na makamu wa Rais Jumuiya ya waTanzania DMV Bi. Joha Nyang'anyi wakiwa katika picha ya pamoja.
Kushoto ni Cleopatra Kulasi Katibu wa Jumuiya ya waTanzania DMV akiwa katika picha ya pamoja na Mhazini wa Jumuiya Bi. Lysa Bantu.
1 comment:
Inalilah wainarah rajiun
Post a Comment