ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 28, 2018

MISA TANZANIA WASHEREKEA SIKU YA UPATIKANAJI TAARIFA DUNIANI, JIJINI DAR ES SALAAM

Mweka hazina wa  MISA Tanzania  Bw. Michael Gwimile akizindua rasmi ripoti ya utafiti wa upatikanaji wa taarifa katika ofisi mbalimbali za umma Nchini, wa kati kati ni Mama Rose Haji Mwalimu ambaye ni Mwanachama wa Taasisi ya MISA Tanzania na Mshauri wa Mambo ya Habari,Hoteli ya Double View, jijini Dar es Salaam
Mweka hazina wa  MISA Tanzania  Bw. Michael Gwimile(kushoto) naMama Rose Haji Mwalimu ambaye ni Mwanachama wa Taasisi ya MISA Tanzania na Mshauri wa Mambo ya Habari, wakionesha ripoti hiyo baada ya uzinduzi.
Mama Rose Haji Mwalimu ambaye ni Mwanachama wa Taasisi ya MISA Tanzania na Mshauri wa Mambo ya Habari.akisoma taarifa kwa niaba ya Mwenyekiti wa MISA Tanzania Bi.Salome Kitomari juu ya Siku ya kupata taarifa Duniani.
Mama Rose Haji Mwalimu ambaye ni Mwanachama wa Taasisi ya MISA Tanzania na Mshauri wa Mambo ya Habari.(Kulia),akitangaza taasisi iliyochukua Tuzo ya Ufunguo wa Dhahabu kwa kufunguka sana kwa umma kwa mwaka 2018 kuwa ni Mfuko wa Hifadhi kwa Watumishi wa Umma (PSPF) . Kushoto ni
Mweka hazina  wa  MISA Tanzania  Bw. Michael Gwimile
Mama Rose Haji Mwalimu ambaye ni Mwanachama wa Taasisi ya MISA Tanzania na Mshauri wa Mambo ya Habari.(Kulia),akitangaza taasisi iliyochukua Tuzo ya Kufuri la  Dhahabu kwa kubana  taarifa kwa mwaka 2018 kuwa ni Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
Mweka hazina wa  MISA Tanzania  Bw. Michael Gwimile, akitoa ufafanuzi wa mambo mbali mbali wakati wa maadhimisho hayo ambayo hufanyika kila mwaka tarehe 28.09.2018.


No comments: