Kwa niaba ya familia ya marehemu Nyamizi Nasibu na Salma Moshi,
Tunapenda kuwaarifu kufanyika kwa kisomo cha kumuombea marehemu Nyamizi Nasibu.
Kisomo kitafanyika
Siku ya *Jumamosi,Sept. 29th 2018
Kuanzia saa Kumi na mbili jioni mpaka saa tatu usiku.
[6pm -9pm]
Anuani:
Meadowbrook Local Park
7901 Meadowbrook Lane,
Chevy Chase, MD 20815.
Tunatanguliza Shukrani.
No comments:
Post a Comment