Msanii mkongwe wa Bongo Fleva Ray C ameamua kumuanika mpenzi wake kwa mashabiki wake mwenye asili ya kizungu kupitia ukurasa wake wa instagram.
Ray C aliwahi kuwa mapenzini na msanii Lord Eyes miaka kadhaa iliyopita lakini baada ya kuachana hakuwahi kuweka wazi wala kuzungumzia chochote kuhusiana na mahusiano yake mapya .
No comments:
Post a Comment