ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 1, 2018

Her Strength Foundation mwaka huu Kilosa Morogoro

Her Strength Foundation mwaka huu ilifika Kilosa Mkoani Morogoro. Wawakilishi wetu walitembelea shule mbili za Mkondoa na Kimamba Shule ya Msingi. Watoto 100 walipatiwa elimu na sanitary supplies. Hapa ni Jessica Lunjwangana kutoka USA anakoisha Founder wake anaejulikana kwa jina la Lyamuya Allie. Huu ni mwanzo tu mambo mazuri yataendelea kuwafikia watoto wengine wa shule mbali mbali nchini Tanzania

No comments: