ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 1, 2018

IBADA YA MISA YA KISWAHILI KANISA KATOLIKI BALTIMORE

 Jumuiya ya Mt. Petro ilyoratibu misa na chakula katika ibada ya misa ya kiswahili Baltimore wakiwa katika picha ya pamoja

Padri Honest Munishi akiongoza ibada ya misa ya kiswahili ya kanisa Katoliki inayofanyika Jumapili ya mwisho ya mwezi, hii ilikua siku ya Jumapili ya Sept 30, 2018 ilikofanyika misa hiyo katika kanisa la mtakatifu Edward Baltimore, Maryland. Picha na Vijimambo Blog.
 Wasaidizi wa Padri (watumikiaji) wakifuatilia misa.
 Mmoja wa waumini akisoma somo la kwanza.
Nnoja wa waumini akisoma somo la pili.

Padri Honest Munishi akisoma neno la injili.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


Padri Honest Munishi akitoa mahubiri

Waumini wakifuatilia misa.

Robert Saulanga akitoa ujumbe kwa waumini wa Ibada ya misa ya Kiswahili kanisa Katoliki Baltimore.

Padri Honest Munishi akipokea sadaka.

Wakati wakutakiana amani

Wakati wa kupokea sakramenti

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Katoliki Patrick Kajale akisoma matangazo kwa jumuiya yake.

Padri Honest Munishi akiwa katika picha ya pamoja na watumikiaji vijana waliomsaidia katika misa hiyo.

Padri Honest Munishi akiombea chakula, kushoto ni Robert Saulanga akifuatilia sala hiyo.

No comments: