ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 1, 2018

SEIF AKIDA MWENYEKITI MPYA NEW YORK

Mwakilishi wa Kudumu wa nchi Tanzania, katika Ubalzi wa Tanzania Umoja wa Mataifa New York Balozi Modest Mero akiongea kwenye mkutano wa uchaguzi wa viongozi wa Jumuiya ya waTanzania New York huku akiwatakia uchaguzi mwema, uliofanyika siku ya Jumapili Sept 30, 2018 Mount Vernon, New York.
Seif Akida ambaye ndiye aliyeibuka mshindi katika kinyang'anyiro cha Mwenyekiti baada ya kuawashinda Shaban Mseba, Slivester Mwingira na Bilal Gharib. Katika picha Seif Akida akijinadi kwa wananchi wake. Silvester Mwigira ndiye aliyekua mwenyekitikatika uongozi uliopita na katika uchaguzi huu ameibukamshindi wa tatu.
Shabai Mseba aliyechukua nafasi ya pili na kuwa makamu mweyekiti akijinadi kabla ya uchaguzi.
Rose Mlay ambaye alipita bila kupigwa na kuchukua nafasi ya katibu mkuu wa Jumuiya.
Mmoja ya wanajumuiya akipiga kura kutumia haki yake ya msingi katika kuwachagua viongozi wake.
Kulia ni mchungaji Butiku akisoma matokeo ya uchaguzi
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi.


No comments: