Meneja wa PSSSF Zanzibar Issa Sabuni akitoa elimu kwa Maafisa wa Jeshi la Polisi juu ya faida zinazopatikanwa katika mfuko huo baada ya kuunganishwa na mifuko mengine na kua mifuko mmoja wanye kuleta faida kwa Wafanyakazi Wastaafu.
Afisa Maendeleo PSSSF Hamza Msangi akitoa Mafunzo kwa Jeshi la Polisi faida zinazopatikanwa katika Mfiko huo katika ghafla iliofanyika katika ukumbi wa Polisi Ziwani Mjini Unguja.
Msaidizi Kamishna wa Polisi Zanzibar F C Shilogile akitoa shukurani kwa Maafisa wa PSSSF kwa kuwapatia Mafunzo Wafanyakazi wake katika ghafla iliofanyika katika ukumbi wa Polisi Ziwani Mjini Zanzibar,( kulia) ni Meneja wa PSSSF Zanzibar Issa Sabuni.
Baadhi ya Askari wa jeshi la Polisi waliohudhuria katika Mafunzo hayo yaliofanyika katika Ukumbi wa Polisi Ziwani Mjini Unguja.
Picha na Abdalla Omar Maelezo – Zanzibar.
No comments:
Post a Comment