ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 31, 2018

WAZIRI MKUU AWASILI MTWARA AKIWA NJIANI KWENDA RUANGWA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara akiwa njiani kwenda Ruangwa, Desemba 30, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara, Dkt. Jilly Elibariki Maleko  wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara akiwa njiani kwenda Ruangwa, Desemba 30, 2018. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa, watatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Bibi  Rehema Madenge. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akislimiana na viongozi wa mkoa wa Mtwara wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara akiwa njiani kwenda Ruangwa, Desemba 30, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: