Skuli ya Sekondary yaGhorofa Tatu ya Jeshi la Kujenga Uchumi(JKU)Lililo funguliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Wilaya ya Magharibi A Mtoni Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Haji Omar Kheir mara baada ya kuwasili katika Ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Ghorofa Tatu ya JKU Mtoni Wilaya ya Magharibi A Unguja.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akikunjuwa kitambaa kuashiria ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Ghorofa Tatu ya JKU Mtoni Wilaya ya Magharibi A Unguja.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji daraja la Pili na Mkuu wa Elimu ya Kompyuta Yussuf Khatib Mirahi mara baada ya kuingia katika chumba cha Kompyuta ilikuona Vifaa hivyo katika Ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Ghorofa Tatu ya JKU Mtoni Wilaya ya Magharibi A Unguja.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akiiwasha moja kati ya Kompyuta zilizowekwa kwa ajili ya mafunzo baada ya kuingia katika chumba cha Kompyuta katika Ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Ghorofa Tatu ya JKU Mtoni Wilaya ya Magharibi A Unguja.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi katikati akitembelea sehemu mbalimbali baada ya kuifungua Skuli ya Sekondary ya Ghorofa Tatu ya JKU Mtoni Wilaya ya Magharibi A Unguja.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akipata maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa Maabara na msaidizi wa Idara ya Sayansi Sajent Taji Masoud Masoud mara baada ya kuingia katika chumba cha Maabara ya Skuli ya Sekondary ya Ghorofa Tatu ya JKU Mtoni Wilaya ya Magharibi A Unguja.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi katikati akiwa katika picha ya pamoja na Walimu na Viongozi katika hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Ghorofa Tatu ya JKU Mtoni Wilaya ya Magharibi A Unguja.
Baadhi ya Wanafunzi wanaosoma katika Skuli ya Sekondary ya JKU waliohudhuria katika Ufunguzi wa Skuli yao mpya ya Sekondary ya Ghorofa Tatu ya JKU Mtoni Wilaya ya Magharibi A Unguja.
Katibu mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Radhia Rashid Haroub akitoa taarifa ya ujenzi wa Skuli ya Sekondary ya Ghorofa Tatu ya JKU baada ya kufunguliwa na makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Mtoni Wilaya ya Magharibi A Unguja.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Haji Omar Kheir akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Ghorofa Tatu ya JKU Mtoni Wilaya ya Magharibi A Unguja.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akitoa hotuba ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Ghorofa Tatu ya JKU Mtoni Wilaya ya Magharibi A Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment