Padri Honest Munishi akiongoza sala ya kubaliki chakula kwenye ukumbi wa sherehe wa kanisa la Mt. Edward Baltmore, Maryland siku ya Jumapili Feb 24, 2019 na kuhudhuriwa na waumini wa kanisa hilo ibada ya misa ya Kiswahili inayofanyika kila mwezi.
Waumini wa ibada ya misa ya Kiswahili ya kanisa Katoliki wakipata picha ya pamoja kwenye ukumbi wa sherehe wa kainisa la mt. Edward mara baada ya kumalizika kwa misa inayofanyika mara moja kwa mwezi misa inayosaliwa kwa kutumia lugha ya Kiswahili.
Waumini wa ibada ya misa ya Kiswahili wakijumuika pamoja kwenye chakula mara baada ya misa kumalizika.
Waumini wa ibada ya misa ya Kiswahili wakijumuika pamoja kwenye chakula mara baada ya misa kumalizika. Aliyesimama ni Mwenyekiti wa umoja huo wa waumini wa kanisa la ibada ya misa ya Kiswahili ya Wakatoliki waishio DMV, Ndugu Patrick Kajlae.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment