Advertisements

Wednesday, February 20, 2019

MKURUGENZI WA IDARA YA MAZINGIRA OFISI YA MAKAMU WA RAIS ATEMBELEZA MAENEO YALIYOPANDWA MITI WAKATI WA KAMPENI YA KIJANISHA DODOMA.

Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa William Mwegoha akipata maelezo toka kwa Msimamizi wa Upandaji Miti katika Chuo cha UDOM, Dkt. Crispin Lubanza wakati alipotembelea eneo la Ng’ong’ona ambapo ilifanyika kampeni ya upandaji miti iliyosimamiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais mwaka jana 2018.
Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa William Mwegoha(kushoto) akiangalia ukuaji wa mti uliopandwa wakati ya kampeni ya upandaji miti kuifanya Dodoma kuwa ya kijani katika eneno la Mzakwe jijini Dodoma. Kulia kwake ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mazingira Bi. Ester Makwaiya.

No comments: