Advertisements

Sunday, February 24, 2019

ROSE AKINUKISHA SERENGETI SIKU YAKE YA KUZALIWA, TEDY NAE ATINGA NDANI YA MJENGO


Rose Milinga akijiwashia kamshumaa kamoja kuashiria miaka yake katika siku ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika siku ya Jumamosi Feb 23, 2019 katika mgahawa wa Serengeti uliopo Georgia Av NW, Washington, DC unaosifika kwa msosi mkali vyakula vya Afrika Mashariki. Sherehe hiyo iliyohudhuriwa na marafiki kibao akiwemo Tedy Gallus (hayupo pichani) aliyepitia Serengeti katika kuunganisha Birthday yake baada ya kutoka viwanja vingine.

Rose akiwa na marafiki zake waliomsindikiza mgahawa wa Serengeti katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Abdul akipata ukodak moment na birthday girl.

Wadau waliofuatana na Tedy wakipata ukodak moment.

First Lady akipata picha ya kumbukumbu na Rose.

Wadau mbalimbali wakijumuika pamoja Serengeti.

Nyomi ya wadau mbalimbali waliofika Serengeti.

Wadau wakijumuika kwa chakula.

Wadau waliofika Club Serengeti kufurahia muziki munene wakipata ukodak moment.
Tabasamu nene kwenye ukodak wa Vijimambo.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: