Friday, March 8, 2019

Fursa ! German-Africa Expo na Intern.Afrika Festival Tübingen 2019 Ujerumani

Changamkieni Fursa!

German-Africa Expo na Intern.Afrika Festival Tübingen 2019 Ujerumani

Watayarishaji wa maonyesho makubwa ya German-Africa International Expo yanaoambata na Afrika International Festival Tübingen,yatakayofanyika kuanzia 29 Julai mpaka 2 Augosti 2019 katika mjiwa Tübingen,nchini Ujerumani , wamefungua milango ya maombi kwa wale wanaotaka kushiriki katika maonyesho hayo.ambapo kutakuwa na maonyesho ya makampuni ya kiafrika na bidhaa zao,maonyesho ya sanaa na utamaduni,na wale wenye makapuni ya shughuli za utalii wote mnakaribishwa kuwahi fursa ,Pia kutakuwa na semina ya wanahabari ambayo hiyo itakuwa ni maalumu kwa wanahabari wa kiafrika.
Msikose kutumia fursa hii adimu ya kushiriki katika maonyesho haya

ya kimataifa ambayo yana faida kubwa kwa wasanii,wanahabari,wanamitindo na makampuni (SMEs) na bidhaa zenu,nufaika kwa kujitangaza kimataifa.
kontakt@afrikafestival, au unaweza kuwasiliana na coordinator kwa east Africa +255(0)787457743(Shamsa)

No comments: