Sunday, March 3, 2019

KISOMA CHA MDOGO WAKE AUNTY ASHA, MAREHEMU MANJUMA AKIDA MEADOWBROOK PARK, CHEVY CHASE, MARYLAND



 Asha Akida Watatu toka kushoto akiwa kwenyekisomo cha mdogo wake Manjuma Akida kilichofanyika siku ya Jumamosi March 2, 2019 kwenye park ya Meadowbrook Park, Chevy Chase, Maryland na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.
Ustaadh Mabenzi akiongoza kisomo cha marehemu Manjuma Akida kilichofanyika siku ya Jumamosi March 2, 2019 Meadowbrook Park, Chevy Chase, Maryland..
 Ndugu, Jamaa na marafiki waliohudhuria kwenye kisomo.
Kisomo kikiendelea.
 Mwenyekiti waJumuiya ya Waislam DMV (TAMCO) Ally Mohammed akielekeza jambo na kutoa taarifa fupi ya Jumuiya hiyo.
Jeffrey mume wa Aunty Asha akitoa neno la shukurani
Wadu mbalimbali waliojitokeza wakifuatilia kisomo
Kisomo kikiendelea.

Kwa picha zaidi bofya soma zaidi.




No comments: