Sunday, March 3, 2019

TAARIFA YA MSIBA - DMV

Familia ya Bw. Victor Kileo inasikitika kutangaza kifo cha Mama Venus B. Kimei (Mama Mzazi wa Victor na Nsia Kileo Kargbo) uliotokea leo 02/28/2019 hapa Maryland baada ya kuugua kwa muda mfupi. Taratibu na mipango ya mazishi inaendelea. Mazishi yatafanyika nyumbani Tanzania.

Kama ilivyo kawaida ya mila na desturi zetu katika kutoa pole, wafiwa wanapatika ifuatavyo:

Victor Kileo - (240) 476 1680
Nsia Kargbo - (319) 427 3507

Msiba upo nyumbani kwa Bw. Victor Kileo, address ni

8601 Castlebar Way Montgomery Village,MD 20886

Pia kwa wale wataoweza kutoa mkono wa pole kwa wafiwa unaweza kutumia njia zifuatazo:

CashApp: $Kileo

GoFundMe:

Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana na wafuatao:

Ms Enid Mswia (917) 568 9966
Tumaini Katule (301) 433 1048
Deo Mosha (240) 441 8433
Aristotle Moshi (202) 243 9428
Mwita Chacha (202) 375 1391

Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi Mama yetu mpendwa.
Amen.

No comments: