Saturday, March 9, 2019

MISA YA KISWAHILI MARCH 10, 2019, NEW YORK

Related image
Wapendwa,

Tumsifu Yesu Kristu.

Tunapenda kuwatangazia ya kuwa,

Tutakuwa na misa yetu ya kiswahili itafanyika Jumapili, tarehe 10 Mwezi Machi 2019, kuanzia saa nane mchana. ( Sunday, 10 March 2019 at 2 pm).

Tunawakaribisha watu wote wanaopenda kuhudhuria ibada yetu ya Kiswahili.
Karibuni tumshukuru Mungu.

Anwani yetu ni: Kanisa la Mt. Cecilia, 120 East 106 Street, New York, NY 10029. Between Lexington and Park Avenue.

Chukua Train # 6. Mpaka kituo cha 110 St. Halafu tembea ukirudi mpaka 106 St.

Ni matumaini yetu kwamba mtafika kwa wingi.

Karibuni sana.

No comments: