Tuesday, March 12, 2019

MJUE MTUNZI WA KITABU SANDA HAPA CHINI KUTOKA MINNESOTA


Kitabu kinaitwa “ Sanda: The Girl with the Magical Smile”
Mtunzi Sabina Mugassa Bingman 


Dhumuni: 
-Teach the Kids Beauty it is not only from outside but the important kind of beauty is beauty within. 
- Culture and tradition that can be passed down
- The book have some Swahili dialogues

For more details about this book click here


Sabina akipata ukodak na Allen Kingdom kijana anaekuja juu kwenye industries ya music hapa Marekani


Sabina akipata ukoda na Jackie, Kwa picha zaidi jitiririshe hapa chini.
Watoto wakikitia baraka kitabu hicho maana ndiyo walengwa wa kitabu hiki.


No comments: