Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael akizungumza na wajumbe wa baraza la wafanyakazi la ofisi yake (hawapo pichani) katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma. Kulia ni Katibu wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Lilian Denis.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael akizungumza na wajumbe wa baraza la wafanyakazi la ofisi yake katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa baraza la wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael (hayupo pichani) katika kikao cha baraza hilo kilichofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael akikabidhi moja ya hati ya kiwanja kwa mtumishi wa ofisi yake,Bw. Jumbe Mgoha wakati wa kikao cha baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kilichofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma. Anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Musa Joseph.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael (kulia) akikabidhi moja ya hati ya kiwanja kwa mtumishi wa ofisi yake, Anna Zahoro wakati wa kikao cha baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kilichofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma. Anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Musa Joseph.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael (wa pili kutoka kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza la wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Wakuu wa Idara na Vitengo wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora baada ya kikao cha baraza la wafanyakazi la ofisi yake kilichofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment