ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 7, 2019

MAMA NGULI WA MITINDO ASYA IDAROUS KHAMSIN APATA TUZO YA MALKIA WA NGUVU

Mama nguli wa mitindo Asya Idarous Khamsin siku ya Jumamosi April 6, 2019 alipokea tuzo la malkia wa nguvu kwa kazi kubwa ya ubunifu wa mitindo na kunyanyua vipaji aliyoifanya kwa miaka yote alipokua akiishi Tanzania na baada ya kuhamia Houston Marekani. Mama wa mitindo baadae leo atawasili nchini Sweden akitokea Tanzania maalum kwa ajili ya kongamano lilioandaliwa na TDC Global, kongamo la kihistoria litakalowanganisha Diaspora wote kutoka kila pembe ya Dunia.
Mama wa mitindo ameahidi kufanya makubwa kwenye kongamano hilo.

No comments: