ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 7, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASALI IBADA YA JUMAPILI MKOANI RUVUMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika ibada ya dominika ya 5 ya Kwaresma katika Parokia ya Mt. Mathias Mulumba Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani Ruvuma.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Mathias Mulumba Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani Ruvuma mara baada ya kuwachangia shilingi milioni tano  kwa ajili ya ukarabati wa Kanisa hilo. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na Masista wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Mathias Mulumba Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani Ruvuma mara baada ya Ibada ya dominika ya 5 ya Kwaresma. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono waumini wa wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Mathias Mulumba Kalemba Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani Ruvuma mara baada ya ibada.PICHA NA IKULU

No comments: