Advertisements

Thursday, April 18, 2019

MISA YA KISWAHILI JUMAPILI YA PASAKA- 21 APRIL 2019

Image result for Cecilia, 120 East 106 Street, New York, NY 10029
\Wapendwa,
Tumsifu Yesu Kristu.
Tunapenda kuwatangazia kuwa,

tutakuwa na Misa yetu ya Kiswahili Jumapili ya Pasaka, tarehe 21 Mwezi April, 2019, 
Kuanzai Saa 8:00 mchana (Easter Sunday 21 April 2019 at 2 pm). 

Na baada ya misa tutajumuika kwenye ukumbi wetu ili kupata chakula na vinywaji

Tunawakaribisha watu wote wanaopenda kuhudhuria ibada yetu ya Kiswahili. 

Anwani yetu ni: Kanisa la Mt. Cecilia, 120 East 106 Street, New York, NY 10029. 

Between Lexington and Park Avenue. 

Chukua Train # 6. Mpaka kituo cha 110 St. Halafu tembea ukirudi mpaka 106 St.

Ni matumaini yetu kwamba mtafika kwa wingi. Karibuni sana tumshangilie Bwana, kwa lugha yetu ya Kiswahili. 

Mbarikiwe. Karibuni Sana

No comments: