ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 8, 2019

Mwal Omari Simba Hamisi Mkuu wa Shule ya Sekondari Makamba Serikali ya Mtaa Ina umuhimu Mkubwa Katija Maendeleo ya Shule.


Umuhimu wa Ushiriki wa Wananchi.

􀀗 Kuiwezesha serikali kuu na serikali za mitaa kutoa huduma
muhimu kwa watu wengi na kwa gharama nafuu kutokana na
nguvukazi na michango ya wananchi.

􀀗 Kuwawezesha wananchi kujua nafasi yao katika jamii na kutambua ushirikishwaji kama njia ya kuwapatia demokrasia.

􀀗 Kuwawezesha wananchi kutambua matatizo yanayowazunguka na kuweza kuyatatua kwa kutumia nguvu zao wenyewe.

􀀗 Kuwawezesha wananchi kujivunia na kumiliki maendeleo yao wenyewe kwa kushirikiana na serikali.

No comments: