Mwana mitndo nguli Asya Idarous Khamsin na wanDiaspora wengine mapema leo baada ya kuwasili Stockhom, Sweden kwa ajili ya kongamano la Diaspora lililoandaliwa na TDC Global. Katika picha Asya Idarous Khamis na wenzake wakipata picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Dr. Wilbroad Slaa. Wapili toka kushoto ni
Shehe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhadi Mussa Salim
Diaspora waliowasili kwenye kongamano Sweden akiwemo mwana mitindo nguli Asya Idarous Khamsin wakitembelea jumba la Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden.
Mwana mitindo nguli Asya Idarous Khamsin akipata picha ya kumbukumbu ndani ya jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden.
No comments:
Post a Comment