ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 8, 2019

TASWIRA YA KISOMO CHA MAMA YAKE MWENYEKITI WA NYCT SEIF AKIDA


Seif Akida Mwenyekiti wa Jumuiya ya waTanzania New York na Connecticut akitoa neno la shukurani kwenye kisomo cha mpendwa mama yake marehemu Bi. Fatma Salimu Lipaki kilichofanyika siku ya Jumamosi April 6, 2019 Mount Vernon, New York na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.

Ndugu, jamaa na marafiki wakiujumuika pamoja na Seif Akida na Salum Akida kwenye kisomo cha mama yao kilichofanyika siku ya Jumamosi April 6, 2019 Mount Vernon, New York.

Kisomo kikiendelea.

Ndugu, jamaa na marafiki wakiendelea na kisomo.
Wanajumuiya wakijumuika pamoja na wafiwa katika kisomo cha mpendwa mama yao.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: