ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 6, 2019

UPDATES MSIBA WA MAMA FATUMA SALIM LIPAKI (MAMA MZAZI WA MWENYEKITI SEIF AKIDA NA SALIM AKIDA)

Ndugu wanajumuiya kutakuwa na KISOMO cha mama yetu mpendwa Bi Fatuma Salim Lipaki siku ya Jumamosi tarehe 6 Mwezi wa Nne (April 6, 2019) kuanzia saa tisa jioni (3:00PM) katika Viwanja vya Ubalozi Mount Vernon.

ADDRESS:

30 Overhill Road, Mount Vernon,
NY 10552

Wanajumuiya, Ndugu, Jamaa na marafiki tunaombwa kujitokeza kwa wingi ili kushirikiana na kuifariji familia ya wafiwa.

Pia Wanajumiya watakaopenda kutuma rambirambi zao watume kwa CASH APP:

JINA: Seif Akida
NUMBER: 929 450 1315

Kwa taarifa zaidi wasiliana na;

Seif Akida (Mwenyekiti)
+1 (929) 450-1315

Salim Akida
(646) 807-5838

Gaston Mkapa
646-359-2367

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI!

No comments: