Mama wa mitindo Asya Idarous khamsin anaungana na wabunifu wa mitindo kutoka nchini mbalimbali katika maonyesho makubwa ya mavazi yanayojulikana kwa Jina la SEALED NECTOR 2019 fashion show katika mji wa ATLANTA GEORGIA NCHINI MAREKANI jumamosi hii tarehe 4 May katika ukumbi wa ATLANTA MASJID
MAVAZI YA SHOW HIO HUWA NI YA STARA DESIGNS 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
No comments:
Post a Comment