Uongozi ATC Metro unapenda kukukaribisha kwenye FAMILY PICNIC itakayojumuisha michezo mbalimbali ikiwemo matembezi ya maili 3,YOGA, Basketball, Netball, Soccer wazee na vijana, Kuvuta kamba na michezo mbalimbali ya watoto.
Yote ni July 4, 2019 kuanzia 4 asubuhi mpaka 4 usiku anuani ni
6800 Tilden Ln
Rockville, MD 20852
WOTE MNAKARIBISHWA
No comments:
Post a Comment