Sheikh Maftah akitoa zawadi kwa watoto walioshinda shindano la kuhifadhi Koran lililofanyika Azhari Mosque Kilwa Kivinje Lindi. Sheikh Maftah alipata nafasi ya kuhudhuria na pia alifuturisha waumini wa kiislam wa Takwa Mosque na Azhari Mosque siku ya tarehe 13 na tare 1.
Waumini wa Kiislam wakipata Iftar ndani ya msikini huko Kilwa Kivinje mkoa wa LIndi.
Kwa Picha zaidi nunda chini.
No comments:
Post a Comment